Thursday, March 25, 2010

WEWE UNGEFANYEJEumewahi kwenda bar na mkeo? soma hii..

A man went to the pub with his wife. When he left for the counter, a
prostitute approached his wife & whispered......."You must DEMAND cash before sex,
I know him very well........ He doesn't pay......!!!"

Labels:

9 Comments:

At 9:36 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

hahahahah! hiyo kali, duniani kuna mambo.

 
At 5:47 PM, Blogger SIMON KITURURU said...

:-)

 
At 10:47 PM, Blogger Fadhy Mtanga said...

Kaka, kaka mambo yenyewe ndiyo hayo, bora wawe wanabaki nyumbani. Maana unaweza mtoa mkeo out ukaambulia matatizo.

Kaka nakuja Mbeya wakati wa pasaka. Kuna vile vinavyopatikana Vamponji ama Iwawa, naweka oda kabisa usijesema, 'aaah mbona hukusema sasa?'

 
At 3:00 AM, Blogger Mija Shija Sayi said...

Mimi ningejisemea kimoyomoyo afadhali wamemstukia na kwa mtaji huo basi atakuwa hapati tena demu wa pembeni.

 
At 7:42 AM, Blogger John Mwaipopo said...

fadhy mtanga karibu nyumbani kwenu mbeya.

dada mija:-)

 
At 8:02 PM, Blogger Candy1 said...

loooooooooooooool!!! hahahhaahaaaa duh! hata swali siwezi kujibu the way this made me laugh!

 
At 2:25 AM, Blogger kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

poa kabisaaaaa hii imetulia. lakini hili ni swali kwa wanawake, kwa hiyo sina jibu

 
At 3:59 AM, Blogger mumyhery said...

alikuwa anataka kumfundisha fisi kula mfupa ha ha ha ha!!!!!!

 
At 4:12 AM, Blogger Koero Mkundi said...

Duh!!!! hapo nadhani palikuwa hapatoshi kwani naamini lilizuka vagi lisilo la kawaida...

HATA HIVYO NAKUTAKIA HERI YA PASAKA

 

Post a Comment

<< Home