Wednesday, March 02, 2011

PICHA HUNENA MANENO ELFU MOJAJE, KATUNI HUNENA MANENO MANGAPI?

Labels:

3 Comments:

At 11:43 PM, Blogger Mija Shija Sayi said...

......maneno laki moja..lol!

 
At 12:37 AM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

Swali basi katika hayo maneno elfu au laki moja ni: "Nani kamrushia Gadaffi jabali la Libya? Wananchi wenyewe au mabepari wanchi zenye ukoloni mamboleo?"

 
At 4:43 AM, Blogger emu-three said...

Mengi sana...! Lukuki! balaah! Ila tusije tukachongewa na mwisho wa siku tukiwa hoi tunajiuliza `hivi kwanin', hivi ni kweli...manake haya mambo bwana...sijui

 

Post a Comment

<< Home