Friday, March 11, 2011

ALPHA BLONDY

Mimi sio mpenzi sana wa Alpha blondy lakini inapokuja katika nyimbo zake kadhaa huwa sifichi kuonyesha huba yangu kwazo. Ijumma hii hebu tushirikiane kuutazama na kuusikiliza SWEET FANTA DIALLO.
Ijumaa njema

Labels:

8 Comments:

At 3:47 AM, Blogger emu-three said...

Namkumbuka sana huyu jamaa, enzi nikiwa napambana na kitabu sekondari...shukurani kwa kumbukumbu hii njema

 
At 7:06 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

Naupenda sana wimbo huu!

Na napenda sana sauti yake!

Ijumaa njema Mkuu!

 
At 7:24 AM, Blogger John Mwaipopo said...

pamoja na hivyo unavyovipenda mtakatifu simeonne, mie pia napenda yanayoimbwa ndani humo. Pia na sanaa ya video

 
At 7:38 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

Unakukumbusha SWEET FANTA DIALLO wako nini Mkuu?:-)

 
At 7:51 AM, Blogger John Mwaipopo said...

ha! ha! ha! kind of.

 
At 10:48 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Huyu jamaa alikuwa na sauti nzuri sana mpaka alipoanza kubwia unga na kuharibu sauti yake kama alivyofanya Whitney Houston.

Nyimbo zake za Masada na God's is One huwa zinanikuna sana !!!

 
At 4:44 PM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

@Mkuu Masangu


Mmmhhh! Unga? Inamaana unga na sauti nzuri vinamvutano mithili yaSOUTH POLE kwa NORTH POLE?

Basi, achunge sana kijana huyo mwingine mwenye kipaji kutoka Senegal: Aliaune Damala Bouga Time Puru Nacka Lu Lu Lu Badara Akon Thiam!


Na kama yeye (Akon)jana ameimaliza miaka yake ya maisha 38 bila unga kabisa itakuwa safi sana)

 
At 10:31 AM, Blogger Proches said...

umenikumbusha mbali sana. those were ze dayz

 

Post a Comment

<< Home