Wednesday, March 02, 2011

HAWA The Bus Driver
Bada ya zaidi ya miaka 17 leo nimekiona tena kitabu hiki katika duka la vitabu kuukuu na nikakinunua nijikumbushe stori za dereva Hawa.



Nimekisoma kwa dakika 30 tu na kukumbuka mbali kwa kweli.Pia nimegundua nilipokisoma kwa mara ya kwanza sikukielewa vema.

Labels:

4 Comments:

At 11:44 PM, Blogger Mija Shija Sayi said...

Ee bwana eeee! Unacho hiki kitabu?

 
At 8:29 AM, Blogger John Mwaipopo said...

Mija hadithi ya Hawa The Bus Driver ilikuwa ya ukweli (si ya kubuni tu). Je kwa wakati ule hakuwa mwanamke wa shoka?

 
At 3:23 AM, Blogger Simon Kitururu said...

Umenigusa uliposema umestukia mara ya kwanza hukukielewa! Mie yananikuta sana hayo nikirudia vitabu nilivyosoma zamani.

Unaweza kukuta hata ulichokizarau unakumbana na fundisho jipya kabisa.

Huyo kwangu alikuwa Mwanamke wa shoka!

 
At 11:20 AM, Blogger Christian Bwaya said...

Ukweli mtupu. Vitabu hivi ukivisoma ukubwani, unagundua kuwa enzi zile unasomeshwa na walimu hukukielewa. Hongera kwake Mzee Mabala wa Mabalaa.

 

Post a Comment

<< Home