Saturday, March 12, 2011

BABU WA LOLIONDO KAZUA BALAA


Magonjwa Sugu yako mengi na wagonjwa ni wengi pia. Babu Mwasapile kazi anayo mwaka huu.

Chanzo: The Citizen On Saturday 12/3/2011

Labels:

6 Comments:

At 2:48 PM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

Huyu baba nini naye? Alikuwa na tabia ya kumezea mezea mate nini?

Hii hata Loliondo hawataiweza kabisa.

 
At 11:55 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

@Mkuu Goodman: :-)

 
At 12:21 PM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

@Simon, na wengine kusoma hapa!

Karibu tena, Simon! Nilikuwa sijapata muda wa kukukaribisha tena hewani hapa.

Nimebanwa na mambo ya waswahili hapa wenye tabia ya kumwinda mtu zaidi ya miaka 10 kwa kutumia kesi ya uongo mtupu.

Nawatakieni wote wikendi njema!

 
At 12:47 PM, Blogger SIMON KITURURU said...

@Mkuu goodman + Muzee ya SAUTI YA BARAGUMU: Wikiendi Njema!

@Mkuu Goodman Pekee:Natumaini kibano kitaisha shwari haraka na akuwindaye na ASHINDWE!

 
At 5:38 AM, Blogger chib said...

@ Goodman.... Ha ha haaa

 
At 6:02 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Kama kutakuwa na mgonjwa hata mmoja tu atakayethibitishwa kuponyeshwa na dawa hii basi mimi nitaifagilia.

 

Post a Comment

<< Home