Monday, June 07, 2010

YAMETIMIA. TAIFA STARS OUT

Taifa Stars (bluu) na wenyeji Amavubi. Picha hudubin-my-o-scope

Juzi nilitabiri uwezekano wa TAifa Stars kutolewa katika mashindano ya wachezaji wanaocheza ligi za nyumbani. Sio kwamba naingilia kazi ya watabiri lakini ilijionyesha wazi tulithamini zaidi mechi ya kirafiki (kinafiki) baina yetu na Brazil kuliko mechi ya mashindano. Sikio la kufa halisikii medisini.

Labels:

4 Comments:

At 4:48 AM, Blogger chib said...

NILIKUWA UWANJANI KIGALI, TAIFA STARS ILICHEZA VIZURI KULIKO RWANDA, LAKINI NILIKUWA NAONA WANAJIHAMI WASIUMIE KWA AJILI YA MECHI YA BRAZIL, SI WAJUA SOKO LA MPIRA WA KULIPWA!!

 
At 6:08 AM, Blogger Fadhy Mtanga said...

...wanasahau kuwa soko la kimataifa kwenye soka la kulipwa linategemea zaidi kiwango na nafasi ya Taifa kwenye soka la dunia. Kwa nafasi tuliyonayo Tz wamejidanganya bure.

Nami nilisema Stars itafungwa. Msiseme mimi si mzalendo, ila tumestahili kufungwa kutokana na akili zetu kuwa za kimbayuwayu.

 
At 6:13 AM, Blogger John Mwaipopo said...

fadhy
...yaani akili za kuambiwa na FIFA rankini, tukachanganya na za kwetu. Ila za kwetu chafu.

 
At 1:22 AM, Blogger poker said...

PROMO DELIMA
poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

Bonus yang kami sediakan :
* TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
* Bonus referal sebesar 10%

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: Facebook
Phone number_: +85595678845

 

Post a Comment

<< Home