Friday, February 04, 2011

MIAKA 5 YA SAUTI YA BARAGUMU


Blogger John Mwaipopo ndani ya mablogu

Juzi blogu hii ilitimiza miaka mitano hewani. nilitamani sana kujipongeza lakini siku wa na internet. Milima na mabonde nimeivuka na sasa Sauti ya Baragumu imefikisha miaka mitano. Nilianza tarehe 2 Feb. 2006 na post hizi hapa. Naam kublog ni addiction ambayo inakutanisha watu. Na nitaendelea panapo majaliwa.

Labels:

9 Comments:

At 2:18 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

HONGERA SANA BLOG YA SAUTI NA BARAGUMU KWA KUTIMIZA MIAKA MITANO . Wengine huku sijui kama tutafika maana bado tupo wachanga kabisa. HONGERA TENA.

 
At 8:48 AM, Blogger Fadhy Mtanga said...

hongera sana kaka kwa blog yako kutimiza miaka 5. ama kwa hakika si kazi ndogo hata kidogo kutimiza miaka hiyo ukiwa unablog.

nakutakia afya njema na kila la kheri katika kublog.

 
At 10:52 AM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

HALA-LA!!!!

Ndio "hongera" hiyo hapa kwetu kwa Kiswahili kinachoongoza, Kizulu.

Lakini maandishi yake nimeiba tu ili welewe matamshi yake. Kwa ukweli inaandikwa "HALALA!!!"

Lakini ukitamka kama "halali" itakuwa sihalali kabisa!

 
At 3:42 PM, Blogger Simon Kitururu said...

Hongera sana MKUU!

 
At 5:48 PM, Blogger Faith S Hilary said...

Hongera sana kaka, wengine ndio tunafuata nyayo zako kuwa na blog kwa muda mrefu...kama vipi stop hiyo miaka mpaka wengine tukufikie then tuendelee wote..hahaha. Again, congrats!

 
At 10:16 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Hongera sana Bwana Mwaipopo. Miaka mitano mingi sana. Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako. Tuko pamoja.

 
At 2:09 AM, Blogger Alex Mwalyoyo said...

...Hongera sana kijana. Tuko pamoja.

 
At 5:48 AM, Blogger EDNA said...

Hongera saaaaaana kaka,keep up the good work.

 
At 11:28 AM, Blogger Christian Bwaya said...

Hongera sana

 

Post a Comment

<< Home