Friday, February 25, 2011

MAPENZI YA TAJIRI NA MASIKINI

Yanaweza kuwapo? au ni Kizungumkuti. Kwa ijumaa hii tulitafakari hili kwa kumsikiliza Vumilia katika songi lake hili Tatizo UmasikiniIjumaa Njema

5 Comments:

At 6:39 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

ni wimbo mzuri nimeupenda Ijumaa njema kaka John!!

 
At 5:50 AM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

Utajiri uko namna nyingi, si pesa peke yake, Mkuu.

Sasa ukiona mapenzi katika tajiri na maskini ujuwe hapo "maskini" huyo anao utajiri wa aina yake. Yeye ni mali kwa tajiri, mfano busara, utumwa na vinginevyo.

Lakini kusema tajiri atakumbatiana tu na hohehahe au HOBO sijawahi kusikia.


"Mkono mtupu haurambwi" nami tena naamini binadamu wakwanza kupenda alitokea hukohuko sehemu za Urambo (LOL)maana yake LOVE IS EMOTIONAL AND EMOTIONS ARE MATERIAL THINGS!

Sijasikiliza lakini wimbo, nisamehe, Mkuu!

Wimbo niliyesikiliza (bahati mbaya ni kwa lugha yaKixhosa) ni ule wake DJ Sdunkero nao uanonyesha kinaganaga kwamba pesa ndio kiini cha mapenzi.

Anafanya RAPPING yake mwanamama nakusema: "MABACHIWE/"MABAKWITWE"= "tuwachukulie pesa zao zote kabla ya kuwapa mapenzi"
http://kwaito.com/videos/sdunkero-mabatjiwe.html

 
At 6:56 AM, Blogger John Mwaipopo said...

nimejifunza vitu viwili hapa ndugu goodman

mosi ni kuwa utajiri si lazima ukathaminishwa na mali tulizozizoea kama vile pesa, nyumba, mashamba, magari na kadhalika. kumbe unaweza kuwa tajiri wa hekima na ukaitumia hiyo hekima kupata mali. you use what you have to get what you don't have. 'nipe nikupe'

cha pili naona kama ile azma yangu ya kujifunza kuzulu inakuja. inaonekana mizizi ya maneno ya kizulu ni kama ya lugha nyingi za kibantu.

katika neno lako MABACHIWE
'MA' inaonyesha nafsi ya kwanza uwingi

'BA'kuwatendea (Mwalimu Matondo nisaidie kidogo nimesahau unyumbulifu huu)

'CHIWE' inaonyesha kitenzi 'CHUKUA'

hapo vipi nimejaribu?

 
At 5:14 AM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

100%, Mkuu!

 
At 5:53 AM, Blogger Goodman Manyanya Phiri said...

maBAchiwe=wao
maSIchiwe=sisi
maNIchiwe=nyinyi
maKAchiwe=yeye
maWUchiwe=wewe

THIS CONSTRUCTION WORKS FOR BOTH XHOSA AND ZULU WITH ONLY ONE EXCEPTION

XHOSA: maNDIchiwe=mimi
ZULU: maNGIchiwe=mimi

NB: I HAVE USED THE SPELLING "chiwe" JUST TO MAKE SWAHILI-SPEAKERS UNDERSTAND THE PRONUNCIATION OF THE WORD AND I WILL CONTINUE TO DO SO WITH ANY OTHER SOUTH AFRICAN LANGUAGE IF OUR JOINT LINGUIBLOG COMES TO FRUITION. IT IS THE CLOSEST THAT THESE WORDS CAN BE PRONOUNCED LIKE THE NATIVES PRONOUNCE THEM. MIND YOU, A GOOD PERCENTAGE OF ALL NATIVE SOUTH AFRICAN LANGUAGES (BAR VENDA AND AFRIKAANS), BOAST A HEFTY PERCENTAGE OF CLICKING SOUNDS WHEREBY YOU COLLECT ONTO YOUR TONGUE A LOT OF SALIVA AND THEREAFTER PRACTICALLY SUCK IT WITH EITHER THE TOP PART OF THE TONGUE TIP TOUCHING THE ROOF OF THE MOUTH (THE "c", "gc" and "ngc" sounds), OR (FOR THE "q", "gq" and "ngq" sounds), A SALIVA-FREE AND DRY SUCKING WITH THE LOWER (RATHER THAN "UPPER" AS BEFORE)SUCKING IN DRY AIR FROM THE ROOF OF THE MOUTH AFTER A MOMENTARY AIR-TIGHT CONTACT BETWEEN THE TWO TISSUES.

With only a small practice, you can master these sounds, MKUU. You should not be intimidated at all. Thereafter you can speak with confidence most Zulu/Xhosa/Swazi/Ndebele clicks and say

CULA=sing
CELA=beg
"cinga"= think (in Xhosa)
"cabanga"=think (in Zulu)

uYAcula= YOU ARE SINGING
siYAcela= WE ARE PLEADING
baCINGA ntoni?= WHAT ARE THEY THINKING? (XHOSA)
baCABANGA ini?= WHAT ARE THEY THINKING? (ZULU)

umCULo= MUSIC/ "A SONG"
isiCELo= A REQUEST
ingCINGA= A THOUGHT(what language?)
umCABANGo= A THOUGHT (what language?)


imiCULo= "MUSICs"/ "SONGS"
iZiCELo= REQUESTS
iIngCINGA(DOUBLE "i", AT WORD BEGINNING!)= THOUGHTS(what language?)
imiCABANGO= THOUGHTS (what language?)

 

Post a Comment

<< Home