Saturday, February 27, 2010

Fikra za outing wanawake na wawanume

Eti hii ni summary ya mawazo wanayokuwa nayo wanaume (shoto) na wanawake wanapotaka/wanapotakiwa kutoka kwenda kustarehe kama vile club na kwingineko.Kuwa mwanamke kazi bwana, au?

Labels: ,

3 Comments:

At 4:27 AM, Blogger Mzee wa Changamoto said...

Hahahahaaaaaaaaa.
Hii sijui ina ukweli gani, ila naona "imesimama"

 
At 4:49 AM, Blogger chib said...

Hu hu huu huu. Wikendi yangu naona imetulia.

 
At 7:18 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Hii inategemea na mwanamke sio wote wapo hivyo. Wiki end njema kaka John:-)

 

Post a Comment

<< Home