Sunday, January 10, 2010

Style za Ombaomba

Kwa staili hizi za ombaoba hawa hata kama uko mchoyo utachangia tu


7 Comments:

At 6:21 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

kazi kwelikweli duniani hapa duh!!

 
At 2:46 AM, Blogger chib said...

Hizi ni kali... ndo mambo ya ubunifu hayo

 
At 7:00 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

Huyo wa kwanza kaniua kweli kwakuwa navyoandika hapa natamani cold beer!:-(

 
At 7:11 AM, Blogger chib said...

@Simon :-)

 
At 12:49 PM, Blogger Candy1 said...

LOOOOOOOL!! Gotta love the first one! Hahahahahahaha!!

 
At 1:00 AM, Blogger Bennet said...

Huyu wa juu nywele zake ni nyeupe si kwamba ni mzee bali povu la bia limehamia kichwani

 
At 1:36 AM, Blogger chib said...

Wanywaji hakika watampinga Bennet.

 

Post a Comment

<< Home