Saturday, December 12, 2009

Nani Zaidii?













Yvonne Chakachaka Mbilia Bel
Wakati fulani huwa najiona nina mambo ya kizamani hivi. Moja ya mambo hayo ni kupenda muziki wa zamani. Miongoni mwa wanamuziki wa zamani ninaowahusudu sana ni hao wakina mama, enzi hizo wasichana. Mpenda muziki yeyote anajua 'shuguli' ya hawa. Nikiwaweka katika kipimio changu Mbilia anapata asilimia 51 na Yvone 49. Mbilia Bel pamoja ya kuwa anatumia lugha ambayo kwangu ni kichina bado mirindimo yake inakosha. Huyo ni mimi. Wewe je?
Wakati unawaweka katika kipimio watazame katika nyimbo Faux Pas (Nia mbaya) Mbilia Bel





Let Him Go wa Chakachaka


P. S. Jumapili (13/12/09) nitakuwa safarini lakini ni siku njema kwangu kutimiza miaka kadhaa. Tufurahi sote.

Labels:

8 Comments:

At 10:14 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

ahsante! ni kweli kila mtu ana miziki yake aipendae. Na nakutakia safari njema pia uwe na siku njema kesho 13/12 kwani ni siku muhimu kwako. Sijui utakuwa miaka mingapi...lol

 
At 2:20 PM, Blogger chib said...

Hongera mkuu kwa kuusogelea uzee. Sasa sijui utafurahi au kukasirika.

Nakupongeza sana kwa kuongeza mwaka mmoja mbele. Baraka zoooooote ndani ya sauti ya baragumu

 
At 2:28 PM, Blogger Simon Kitururu said...

Hongera Mkuu!

 
At 2:23 AM, Blogger Upepo Mwanana said...

Hongera kaka, ingawa nimechelewa kutoa salamu.
Pia, mie namhusudu sana Yvonne!

 
At 2:39 AM, Blogger kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

duh

 
At 5:19 AM, Blogger Mzee wa Changamoto said...

Kaka John
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwako

 
At 8:20 AM, Blogger Simon Kitururu said...

Heri ya Krismasi Mkuu!

 
At 1:41 PM, Blogger imanauliya said...

i like it this blog
Vimax Pills

Vimax Asli

Obat Perangsang Wanita

Obat Vimax

Boneka Full Body

 

Post a Comment

<< Home