Thursday, December 03, 2009

Mazungumzo ya Jaji na Mtoto...

Taifa Stars

Judge: Do you want to live with your mother?
Child: No
Judge: Why?
Child: She beats me.
Judge: Okay, so you want to live with dad?
Child: No
Judge: Why not?
Child: He beats me too.
Judge: So who do you want to live with?
Child: Taifa Stars!!!
Judge: WHY??
Child: They never beat anyone!

Labels:

11 Comments:

At 5:28 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Ha ha ha ha ha ha ha Nashindwa kuacha kucheka na mbavu zimebaki kidogo tu kukatika. Siku yangu imekuwa na afya. Kaziiii kwelikweli

 
At 5:32 PM, Blogger Glennis said...

haha very funny I am sure.

 
At 5:38 PM, Blogger Candy1 said...

hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! cnt stop laughin...hehehehhehe.....

 
At 2:23 AM, Blogger Mija Shija Sayi said...

Labda tufikie wakati tuwe tunawaeleza watoto wetu kwa nini tunawachapa, nini madhara ya kutoadhibiwa utotoni unapokuwa mtu mzima. Naamini watoto wengi wanaamini wanachapwa kwa vile wamefanya kosa lakini kumbe ina maana kubwa sana ukubwani.

Ujumbe mzito Mwaipopo umetuletea sisi wazazi.

*** Mwaipopo hivi Makene yuko wapi jamani?

 
At 8:14 AM, Blogger kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Mij shija, kuwachapa watoto!! mimi nachelea kidogo na ushindwe katika hilo. labda ngoja kakwangu kafike duniani nione uzoefu

 
At 8:14 AM, Blogger kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Mij shija, kuwachapa watoto!! mimi nachelea kidogo na ushindwe katika hilo. labda ngoja kakwangu kafike duniani nione uzoefu

 
At 1:38 PM, Blogger Mija Shija Sayi said...

Kamala umesema kweli, ngoja kakwako kafike halafu ndo tutaongea lugha moja.

 
At 11:48 PM, Blogger John Mwaipopo said...

Mija makene yupo kajaa tele ila ametia nguvu nyingi katika kuhariri gazeti la rai. pia hapo nyuma kidogo alikuwa anasaka elimu huko kwa mzee zuma. ila sasa amejaa sinza kijiweni kikazi na kimakazi

 
At 10:32 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima said...

Mimi soka si mchezo wangu. Ni kweli Taifa Stars yetu ni mbovu kiasi hicho?

Halafu Bwana Mwaipopo, nitawezaje kuwasiliana na Makene?

 
At 11:43 PM, Blogger John Mwaipopo said...

prof nzuzulima taifa stars yetu kwa kweli ni kama waswahili wanavyosema 'tia maji tia maji' ila juzi imetupa raha. sijui leo na rwanda. boniphace makene anapatikana hivi:

255767531303 au

markbtz@yahoo.com

 
At 2:43 AM, Blogger Foundation said...

kazi ipo hapo...lol

kama hata watoto wanaidharau timu yetu ambayo mshikaji anaifwagilia na kochi wake, mbona mambo si mambo?

Chacha

 

Post a Comment

<< Home