Sunday, May 14, 2006

Nalo Liko Kivya-kevyake

Hili nalo halingoji. Liko mtandaoni kivyake-vyake. Limekaaje? Mwenye macho haambiwi tazama hapa.

6 Comments:

At 11:41 PM, Blogger Reggy's said...

kweli liko kivyake vyake. Umekipata wapi?

 
At 3:21 AM, Blogger Vempin Media Tanzania said...

Heh kaka we nimekuvulia kofia yaani dakika chache tu tangu litinge mtandaoni umelinyaka, hawa washikaji wako fiti, wao kila siku Manji, kama siyo Manji NSSF au PPF au nini sijui huraaa. Hongera kwa kufanya u-Columbus.

 
At 7:14 AM, Blogger Christian Bwaya said...

Waliahidi kulivalia njuga suala la Manji, sasa sijui kasi yao imeishia wapi. Kuna jambo limetokea hapa katikati nadhani, maana wamekoma kabisa.

 
At 6:14 PM, Blogger MICHUZI BLOG said...

bwaya, si unajua manji kaomba mahakamani (nadhani kapata) gag order ama kufungwa midomo vyombo vya habari kuandika juu yake hadi kesi alofungua dhidi ya ippmedia iamuliwe.

 
At 11:21 PM, Blogger Reggy's said...

zaidi ya hiyo Michuzi, Manji pia amefungua kesi ya kuingilia uhuru wa mahakama dhidi ya mengi, kwani baada ya kupata courtt order ya kuzuia habari zake kuandikwa na vyombo vya habari cya IPP na media Solution, Mengi aliendelea kutoa habari hizo. Mengi akipatikana na hatia atafungwa si chini ya miezi sita.

 
At 1:34 PM, Blogger Jeff Msangi said...

Mwaipopo,
Ahsante kwa kutuongezea vyanzo vya habari kutokea nchini kwetu.
Suala la Manji...jamani si nyote mnajua msimamo wangu??

 

Post a Comment

<< Home