Saturday, March 18, 2006

Leo Ninawatega!
Hii picha ni ya vijana wadogo miaka hiyo, ambao baadaye walikuja kuwa wanamuziki mashuhuri duniani kote. Nyimbo zao ni maarufu kama majina yao. Waliunda bendi iliyoitwa kwa jina la mmoja wao. Mmoja wao alipigwa risasi mwaka 1987. Ni akina nani hawa?

11 Comments:

At 2:42 AM, Blogger mwandani said...

kushoto ni Bob Marley

 
At 10:56 AM, Blogger Boniphace Makene said...

Mwandani kweli kabisa lakini nimepiga chabo kwako maana nilishaingizwa town na huyu baragumu. Baragumu rejea usuli wa neno KUTEGA, limebadili maana huko Bongo sasa, hivyo kwetu akina kaka ambao hatuna mahusiano ya jinsia moja huwezi kututega.

 
At 6:52 AM, Blogger mloyi said...

Baragumu unatukumbusha mbali sana! Uliwaza nini kutuletea picha hiyo, inawakuna wengi sana na duniani kote.

 
At 7:15 AM, Blogger frankj said...

haya mi nimeshindwa kuwatambua kwani nilikuwa bado mdogo sana.sasa hivi kwanani hunitembelei kwenye www.fglukwaro.blogspot.com alafu naomba uiorodheshe kwenye sehemu ya blog.nashukuru.

 
At 9:07 PM, Blogger Mija Shija Sayi said...

Bob Marley, Bunny Wailer na Peter Tosh.

 
At 3:54 AM, Blogger katuni za walimwengu said...

Aisee nashukuru sana Jeff, mimi nasema subirini muone!

 
At 3:57 AM, Blogger katuni za walimwengu said...

Aisee hiyo picha ni kiboko!sijui ni kinani vile!!!Hebu tuambie bwana...

 
At 5:46 PM, Blogger John Mwaipopo said...

Da'Mija amemaliza

 
At 2:50 PM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Uliweka mtego, nami nikaamua kutegea nione atakayejibu. Hongera Da Mija.

 
At 3:35 AM, Blogger In Christ I Believe-ICIB. said...

Daa si utani hiyo ni kiboko,Sisy ametegua,Nampa big 5.

 
At 9:28 PM, Blogger BIO SLIM HERBAL said...

vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada

 

Post a Comment

<< Home