UCHOKOZI...!!
"ACHA NINYWE KWA RAHA ZANGU MAANA NIMESHAUA ILE SHEITWAN USAMA! HAHAAAAAAAAAAAAAAAA" (Nukuu imetoka hapa)
Labels: uchokozi
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
UCHOKOZI...!!
Labels: uchokozi
3 Comments:
Inawezekana anasema hivyo au labda anasema ingekuwa kazi na starehe ....
Kama wamekunja sura, wanasikilizia utamu au wanawaridhisha wenyeji labda ni mbaya au chungu sana!!!!!!
Swhili na waswahili nakubaliana na wewe. hiki kinywaji huwa kinahitaji roho ngumu maana ni kichungu. kama ulivyosema kuna mawili. ama wao wametengenezewa yenye utamu kama utalmu wa vita malt au wanajikaza tu kwa political reasons
Post a Comment
<< Home