Thursday, November 11, 2010

UNASHAURIWA KUIMBA NYIMBO HIZI KADIRI UNAVYOENDESHA GARI

60 km/h - "It is well with my soul"

80 km/h - "God will take care of you"
100 km/h - "Guide me oh great Jehovah"

120 km/h - "Near my God to thee"

140 km/h - "his world is not my home"
160 km/h - "Lord I’m coming home"

180 km/h - "Precious memories"

200 km/h - "Rest in peace"


Kuwa mwangalifu unapoendesha chombo cha moto

Labels:

5 Comments:

At 12:10 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

kweli inatakiwa kuwa makini uendeshapo gari USALAMA BARABARANI

 
At 8:04 PM, Blogger SIMON KITURURU said...

Mmmmmh!

 
At 8:10 AM, Blogger chib said...

huu wimbo unafaa wafundishwe madereva wa daladala na mabasi ya masafa marefu

 
At 8:46 AM, Blogger Fadhy Mtanga said...

mmmh kaka huu wimbo hata mie napaswa kujifunza.
ahsante kwa kunikumbusha.

 
At 7:43 AM, Blogger Subi said...

John, hii niliipenda tangu siku umeichapisha na kuisambaza niliisambaza na linki ya blogu yako. Leo ndiyo nimepata nafasi ya kuacha maoni. Watu watatu wakauliza ziko wapiza spidi zaidi ya hapo, mi nikawajibu, "hizo nyimbo za spidi ya juu ya zilizopo, hatutazisikia humu duniani, watakuwa wanaziimbia hukoo wakati wanaelekea, watamalizia korasi huko watakakofika" teh teh!

 

Post a Comment

<< Home