Monday, October 18, 2010

MIAKA MITATU BILA LUCKY DUBETarehe ya leo miaka mitatu iliyopita majahili walikatiza maisha ya lucky dube. Kisa? Gari. Naam gari la Lucky Dube lilikuwa bora kuliko maisha yake.

Huwa sichoki kumsikiliza Dube 'mwenyebahati'.

tumkumbuke tukisikiliza kibao chake "Let Jah be Praised"

Labels:

2 Comments:

At 8:11 AM, Blogger Mija Shija Sayi said...

Yaani huyu mtu wee acha tu! R.I.P.

 
At 11:25 AM, Blogger SIMON KITURURU said...

Nashukuru niliwahi kumuona live kabla hajatutoka. R.I.P!

 

Post a Comment

<< Home