Monday, November 08, 2010

SIRI YA NINI?

Habari hii ilitoka katika gazeti moja hivi karibuni. Sina shida na mambo mengine yaliyoripotiwa kusemwa ila nina shida ya huo usiri wa mafao ya wabunge hapo katika aya ya kwanza na ya pili. Mie nilidhani sisi ndio tunawalipa wabunge sasa kwa nini sisi tunaotoa mshahara tusijue tunatoa kisasi gani?

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

<< Home