Friday, October 29, 2010

TAKUKURU VILAZA?Hii ni sehemu ya tangazo moja la TAKUKURU wakati huu wa uchaguzi. Mimi najiuliza hivi kuna sehemu zingine INARUHUSIWA kutoa rushwa?

Labels:

5 Comments:

At 3:18 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

kinachotakiwa hapa nikutokuwa na rushwa kabisssssaaaaaaaaaaaaaa!!

 
At 8:41 AM, Blogger chib said...

Wee Mwaipopo mchokozi sana ha ha haaa

 
At 9:59 PM, Blogger SIMON KITURURU said...

Kazi ipo!

 
At 3:59 AM, Blogger Dayaspora Simba Damu said...

Ni vilaza haoo, ... Ndiyoo, Vilazaa, Vilazaaa, Vilaza kabisaa, ... kaziii!

 
At 5:28 AM, Blogger Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Dah! Pengine ni lugha tu imegongana na wameshindwa kusema walichotaka kusema.

 

Post a Comment

<< Home