WEWE UNGEFANYEJE
Mwenyewe una dharura zako, huna hili wala lile na unahitaji pesa kiasi kutatua dharura zako. Unafika kwenye ATM unakuta hii maneno....unafanya nini, hasa ukiwa kilaza kama mimi.

Automated Teller Machine
Labels: futuhi
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
WEWE UNGEFANYEJE
Labels: futuhi
6 Comments:
unaweza ukabanwa na dharura zote kwa mkupuo
Hi hi hi hiiii! Asante kwa kuifanya siku yangu ipendeze. Nimecheka sana!
:-)
This comment has been removed by the author.
hahahahaha hii kali
duh hiyo bank itakuwa na ugomvi na watu tulio kimbia math huko tulipo toka.
Post a Comment
<< Home