Usitake Ncheke Mie!!!! Kumbe kazi ya U-DJ sio ngumu. Katuni zingine za kutisha (kama unatumia pombe na sigara zinatisha ) za David Chikoko zibofye hapa.
SAUTI YA BARAGUMU
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
3 Comments:
Mwaipopo hili chapisho kwa wavuta fegi na wagida kinywaji wakilisoma mpaka mwisho wanaweza kupunguza kiwango cha matumizi yao ya hivyo vilevi.
Mimi nilijua ukigida bia unaoongeza damu! kumbe sio.Sasa wagidaji bia wanakuwa na vitambi na vitambi si dalili ya afya bora?
kaka nimeona comment yako kuusu wanafunzi wa ukrain nimeifagilia sana, ni kweli wanasoma nje na wanaoumia ni mama zetu na baba zetu wakulima wa hali ya chini, wakati hutawai kuckia nafasi za kusoma nje zikitangazwa au zikiwekwa wazi kwa kila mmja, utaskia tu kuna watanzania wapo ukrain na wapi na wapi! kwa hiyo c oni sababu ya kumtafuta mkombozi wa hili, na kuusu kikwete na ahadi zake ckumbuki ni ipi aliiiaidi na ipi ameitekeleza cna comment na hilo.
tupo pamoja kaka
Hai.....salaam,
how are u.....
Post a Comment
<< Home