Sunday, December 03, 2006

Zawadi kwa Ndesanjo

Hivi unaweza kupakumbuka hapa ni wapi vile?

4 Comments:

At 1:57 PM, Blogger Unknown said...

A town!kushoto kuna hospitali na shule ya msingi.

 
At 7:24 AM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Asante kwa picha. Jana nilijaribu kuandika hapa lakini ikawa inakataa. Sijui kwanini.

 
At 9:49 AM, Blogger Kibunango said...

Mnara wa Azimio la Arusha, katika Mji wa Arusha, Mnara huo umepakana na Uwanja wa Mashujaa(sanamu la mashujaa) Hospitali ya wilaya, Nyumba za wenyeji, zaidi kutoka hapo unaweza kufika Sheikh Amir Abeid Stadium, Kanisa la Anglican n.k

 
At 7:40 AM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Mnara huo wa Azimio la Arusha lililouawa bila mjadala wa kitaifa kule Zanzibar.

 

Post a Comment

<< Home