Zawadi Kwa Michuzi
Juma lililopita nilibahatika kutembelea Dar es Salaam na kubahatika kukuta mauzauza haya ya watoto wa shule.
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
3 Comments:
hawa watoto na wanajamii kwa ujumla wanapotoshwa,baada ya kumshambulia adui wanatumia nguvu kibao kushambulia asiye na hatia.hizi nguvu wangezitumia kwa wiki moja tu kuprorest ili serikali iweke utaratibu unaoeleweka naamini hali ingekuwa tofauti na ilivyo sasa.jukumu la serikali sio tu kutamka kuwa wanafunzi watalipa nusu nauli bila kuhakikisha uwezekano wa utekelezaji wa hiyo kauli.
asante joni. tuletee za soko la mwanjelwa tunasikia linawaka moto. alafu unakuja dar hatutafutani?
Mwaipopo karibu tena, tulikata tamaa kupitia hiki kijiwe chako maana kila tukiingia unakuwa haupo, karibu tena.
Joto la bongo limeongezeka kidogo?, kama unalikumbuka la zamani. Usafiri bado wa shida, hatuna 'tubes' hapa hii inzidisha tatizo.
wenzako akina jikomboe na mwanazuoni hawakuonei wivu kuwa katika eneo hilo? waambie wanachokosa.
Post a Comment
<< Home