Saturday, December 16, 2006


Makanisa Kibao Mbeya

Kamkoa ketu kanajitahidi sana kuwafunza waja namna ya kujiandaa na maisha bada ya kifo. Nimeipiga aribu na ilipotokea ajali ya ndege. Hata hivyo kamkoa haka ndiko kanasemwa vibaya kwa ushirikina. Tetesi zilizoko uswazi eti moto ulioteketeza soko la Mwanjelwa ni matokeo ya ulozi. Watu wanadai kuona vitu na viumbe vya ajabu baada ya moto. Pia ajali ya ndege inasemwa vivyovivyo. Soma pale chini

2 Comments:

At 3:24 AM, Blogger Bwaya said...

Haya makanisa yanayozidi waumini wake yanaleta tafsiri gani? Kurekebisha upotofu, ama kuongeza upotofu?

 
At 11:42 AM, Blogger kyekue said...

Halelujah! Judgement day is around the corner

 

Post a Comment

<< Home