Saturday, December 16, 2006

Ajali ya Ndege MbeyaWatu Wakistaajabu Mabaki ya Ndege Leo Asubuhi
Mabaski ya Ndege.Je Mnaamini kuwa kuna mkono wa mtu. Soma pale chini.

7 Comments:

At 7:49 AM, Blogger Boniphace Makene said...

kaka twashukuru kwa picha hizi ambazo umeziweka katika muda. Kweli ulipaswa kuzituma hata kwa vyombo vya habari mapema huenda zingekupa vijisenti pia. Shukrani kaka. Hata hivyo nami nimefungua gazeti tando jipya la picha. Nitalitangaza kwangu siku si nyingi.

 
At 8:56 AM, Blogger mwalyoyo said...

Poleni sana kwa majanga mawili kwa mpigo! Imani za ajabu ajabu kwa hapo kwetu Uswahilini ni jambo la kawaida, kwa kweli elimu haijatusaidia sana kuondokana na kadhia hii. Hali ni mbaya sana kwa kule Shinyanga, nafikiri unalitambua hili. Kwa jinsi ninavyojua uwingi wa watu katika soko la hapo kwetu Mwanjelwa, huenda kuna watu wamezirai ama hata kufa kwa kupoteza mali zao hapo sokoni. Poleni sana.

 
At 1:35 PM, Blogger fadhili said...

Kumbukumbu zangu zinaniambia waziri aliywahi kupoteza maisha yake ajalini kwa ndege ni Hayati Shekilango ,je kuna mwingine yoyote katika historia ya Tanzania na najua hii ajali haijauwa waziri lakini ningependa kufahamu ni ajali ngapi za ndege zimechukua maisha ya watu maarufu na wanasiasa nchini

 
At 12:36 AM, Blogger MK said...

Inasikitisha kusikia ajali hii mbaya imetokea, Pia napenda kuwapa pole kwa familia za watu walio poteza maisha au kupata majeruhi.

Wote tupo gizani kwamba nini tatizo la kuanguka kwa hii ndege. Ukweli utapatikana kama wakiweza kupata Black box ili kujua mazungumzo ya mwisho ya marubani na kujua nini ilikuwa tatizo zaidi.

Nadhani serikali itaweza kutoa hizo sababu mapema iwezekanavyo.

Mwisho, Napenda kutoa tena pole kwa familia na wote walio kumbwa na hili tatizo.

Nashukuru.

 
At 6:57 AM, Blogger Monica said...

High! Interesting blog you have here. I like it!
You are wellcome at my drug search engine:
http://myviagra.sbn.bz/ - viagra
http://soma.sbn.bz/ - soma
http://mytramadol.sbn.bz/ - tramadol
Have a nice day!

 
At 9:37 PM, Blogger BIO SLIM HERBAL said...

vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax Asli
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada
vimax canada

 
At 1:34 AM, Blogger poker said...

PROMO DELIMA
poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

Bonus yang kami sediakan :
* TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
* Bonus referal sebesar 10%

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: Facebook
Phone number_: +85595678845

 

Post a Comment

<< Home