Saturday, August 08, 2009

Mkenya anayemtamani binti wa ClintonSio Lazima ufanye ukatili kwa watu ndio uwe mashuhuri, hapana. Godwin Kipkemoi Chepkurgor (pichani alimwandikia rais Bill Clinton mwaka 2001 kumposa bintiye Chelsea. Ingawa alishao na kuzaa watoto wa-2, jamaa (40) hajakata tamaa eti. Endelea hapa

1 Comments:

At 2:42 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Nimeshindwa kuendelea kusoma hakufunguka. Lakini sio vibaya naye alijaribu bahati yake.

 

Post a Comment

<< Home