Monday, December 06, 2010

YA KALE...
Leo nimeifukunyua hii picha. Nilipoiona nimecheka sana. Nimekumbuka mbali pia.hapo ilikuwa novemba 2001 (kama sikosei) mimi na huyo mdada (siku hizi mmama)tulienda kujiunga na Kiongozi wa FM Academia kipindi hicho Ndanda Kosovo Kichaa. Ilikuwa Nkrumah Hall pale Chuo Kikuu. Nilikuwa kimbaumbau ukilinganisha na sasa.

Labels:

6 Comments:

At 3:54 PM, Blogger SIMON KITURURU said...

Naona hapo ilikuwa FULU guditaimu!

Halafu Mdada Mzuri huyo kikutia majaribuni mtu!:-(

 
At 10:53 PM, Blogger Fadhy Mtanga said...

halafu ulikuwa bonge la msela....na huyo mdada bonge la dadaduu.....duuuh kweli ya kale ni dhahabu

 
At 6:25 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Natamani kuwa kama zamani...hapo kwa kweli ulikuwa kama walivyosema waliotanmgulia msela ....zamani ilikuwa bombiiii ahsante kwa kutushirikisha ya kale

 
At 5:04 AM, Blogger Mija Shija Sayi said...

Sijui siku hizi unakula nini?

 
At 6:58 AM, Blogger John Mwaipopo said...

mija siku hizi natumia kidogo nyama 'za wanyama wenye mafuta' halafu na maji taka ya ilala

 
At 5:04 PM, Blogger kassim said...

hahahahahahah, mama kasey, duuuh long timeeeeeee agoooooo

 

Post a Comment

<< Home