Obama! Obama!
Kila mtaa hapa bongo watu wote ni Obama, Obama kufuatia ushindi wake wa kishindo huko Marekani. Kila baada ya sentensi mbili inayofuatia ina neno 'Obama'. Pegine wakati wafuasi wake wali0tapakaa ulimwenguni wakishangilia, yeye anatafakari ni kwa namna gani ataitoa Marekani (na sehemu zingene za dunia) hapo zilipo na kuzipeleka pengine palipo bora zaidi. Blogu hii inamtakia kila la heri katika kazi yake hiyo aliyoiomba kwa juhudi zote.
Sasa ni Rais na hatua inayofuatia ni majukumu mengi na mazito ya kuliongoza taifa hilo kubwa 



Labels: Barack Obama
1 Comments:
bye from italy
Post a Comment
<< Home