Monday, November 24, 2008

Nimechoka Kupanga
Picha hazina muelekeo kwa sasa ila nitakuwa nawaupdate kanavyoendelela. Mniombee nivunje heshima baa nikamalizie kule Uyole Mbeya.

Labels:

9 Comments:

At 8:04 AM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Nakushauri ufyatue matofali yako itakuwa gharama ndogo zaidi kuliko kazi hiyo

 
At 10:03 AM, Blogger John Mwaipopo said...

Yasinta nashukuru kwa ushauri. Nimejifunza pale kwenye slide show yenu. Nami ndivyo nilivyofanya. Ile slideshow ni shule tosha.

 
At 9:29 PM, Blogger fadhymtanga said...

Haya mzee,
höngera kwa kufikiria kuuendeleza mji wa nyumbani.
Nifanyie mpango hako kajiplot ka pembeni yako.

 
At 11:59 PM, Blogger John Mwaipopo said...

Mtanga hiki cha pembeni wameshakiwahi. Ntakutafutia sehemu nyingine ya karibukaribu suijali

 
At 8:29 AM, Blogger Fadhy Mtanga said...

Ahsante sasa kaka.
Nakisubiri hicho kijiplot ili nami nijenge heshima jijini kwetu Mby.
Usisahau bustani nzuri ya maua ukishamaliza ujenzi wako. Hali ya hewa inaruhusu, udongo nao unaruhusu, upatikanaji nao unaruhusu. Ukijumlisha migomba, mikatapera, magimbi na mapichesi. Hapo ushindwe mwenyewe kaka.
Alamsiki.

 
At 7:01 AM, Blogger Egidio Ndabagoye said...

hatua kubwa sana kaka.

 
At 7:29 AM, Blogger Bwaya said...

Nimependa: Kuvunja heshima baa. Imetulia hiyo.

Kwa nini watu hutafuta heshima baa?

 
At 10:02 PM, Blogger tosha said...

kaka nadhan hujachoka kupanga weye...mjumba wote huo wkt alochoka huanza na rum 1 au 2 tu za fasta...we kaka naona wataka fungua na mbuga ya wanyama humo...
lkn mwanzo mzuri inshaallah utafika sheikh

 
At 10:31 PM, Blogger Michuzi junior-2 said...

Kaka John unataka kuangusha hekaru nini maana huo mjengo mpaka unanitisha.mambo vipi lakini mkuu?

 

Post a Comment

<< Home