Thursday, November 06, 2008

Obama! Obama!
Kila mtaa hapa bongo watu wote ni Obama, Obama kufuatia ushindi wake wa kishindo huko Marekani. Kila baada ya sentensi mbili inayofuatia ina neno 'Obama'. Pegine wakati wafuasi wake wali0tapakaa ulimwenguni wakishangilia, yeye anatafakari ni kwa namna gani ataitoa Marekani (na sehemu zingene za dunia) hapo zilipo na kuzipeleka pengine palipo bora zaidi. Blogu hii inamtakia kila la heri katika kazi yake hiyo aliyoiomba kwa juhudi zote.
Sasa ni Rais na hatua inayofuatia ni majukumu mengi na mazito ya kuliongoza taifa hilo kubwa Michezo kama kawa alikuwemo. Sijui sasa kama atapata nafasi ya kutosha kushiriki michezo.


Awe mwangalifu na makini asijedhuriwa na pengine kuuwawa kama ilivyokuwa kwa JF Kennedy (Hapa yupo na babu yake wa kikeni na nyuma kama redneck anamvizia na gogo vile -tafsiri yangu) Yes We Can


Injini kiuno enzi hizo.

Labels:

1 Comments:

At 1:00 AM, Blogger Doctors by night said...

bye from italy

 

Post a Comment

<< Home