Tuesday, October 28, 2008

Yanga Bingwa 2009/2010
Mji woote huwa shwari tukiwafungaga hawa jamaa. Ni raha tulioikosa siku nyingi Lakini mla ni mla leo... Wangeshinda wao ungesikia vurugu na mitusi-mitusi mji. mzima.

Washabiki wakiwasubiri timu yao ije kuchinja mtuYanga kama timu ya taifa vile
Utani unapokolea balaa
Nguruwe keshachinjwa hapa na mpira ushakwisha


Wachezaji mamilionea wakitoka kuwashukuru washabiki baada ya Ben Mwalala kufanya mambo yaliyomleta nchini.Full Shangwe "Wanaona haya mamefanywa vibaya"

Kibrazil-Brazil tu


Full shangwe plus.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

<< Home