WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
Tuesday, March 03, 2009
Mtangazaji Rehema Mwakangale Hatunaye Buriani
Alionekana (kulia) kuwa bado ana safari ndefu ya mafanikio katika fani yake lakini Mungu alimuandalia mafanikio Huko kwake. Habari zipo hapa na hapa.Mungu amrehemu Rehema, Amen.
No comments:
Post a Comment