bwaya kama kawaida yako una michango michanganyo. zako ni tungo za kufikirisha.
Mitaa nimekusoma.
Lengo la bungua bongo hii halikukamilika. hongereni kwa kujaribu. nilikoitoa hii picha ( bwaya unakujua)ilikuwa inabadililka badilika kwa hao watu kukatwa kuanzia kiunoni na sehemu hizo kujiunga na wengine na zile za wa kushoto kwenda kwa wa kulia vivyo hivyo.
mie nimeshindwa kujua wapo wangapi kwani wanachanganya sana na maswali yako ni yakufikirika haswa. so wewe unaona wapo wangapi na kwanini naomba ujibu ili nipate kuelewa
Mimi nimeshindwa kujua wako wangapi. Ila nadhani idadi inategemeana na mpangilio husika. Kwa sababu tunachoona kipo ubongoni na sio machoni.
ReplyDeletewatu wapo 3 hapo boss
ReplyDeletebwaya kama kawaida yako una michango michanganyo. zako ni tungo za kufikirisha.
ReplyDeleteMitaa nimekusoma.
Lengo la bungua bongo hii halikukamilika. hongereni kwa kujaribu. nilikoitoa hii picha ( bwaya unakujua)ilikuwa inabadililka badilika kwa hao watu kukatwa kuanzia kiunoni na sehemu hizo kujiunga na wengine na zile za wa kushoto kwenda kwa wa kulia vivyo hivyo.
asanteni!
mie nimeshindwa kujua wapo wangapi kwani wanachanganya sana na maswali yako ni yakufikirika haswa. so wewe unaona wapo wangapi na kwanini naomba ujibu ili nipate kuelewa
ReplyDeletemwanakissy