nazani pia wanahitaji kujitambua kuwa destiny yao isiwe yanga, simba na azam. wafundishwe kujiwekea malengo kuwa wa-aim high and failure will be their success. waki-aim low, success will be their failure.
kwa mfano malengo yango yakiwa kuchezea manchester united utakaposhindwa kuichezea si hapa unaweza kudondokea fulham. haya ni mafanikio pia. Lakini kama malengo yako ni kuchezea yanga, unaweza kuishia kuchezea majimaji. huku kutakuwa kushindwa kabisa.
naona kijana wetu akikamuana na Fabio vilivyo....nadhani wachezaji wetu wana vipaji ila wanakosa tu exposure!
ReplyDeletenazani pia wanahitaji kujitambua kuwa destiny yao isiwe yanga, simba na azam. wafundishwe kujiwekea malengo kuwa wa-aim high and failure will be their success. waki-aim low, success will be their failure.
ReplyDeletekwa mfano malengo yango yakiwa kuchezea manchester united utakaposhindwa kuichezea si hapa unaweza kudondokea fulham. haya ni mafanikio pia. Lakini kama malengo yako ni kuchezea yanga, unaweza kuishia kuchezea majimaji. huku kutakuwa kushindwa kabisa.
subuutuu, Majimaji vigogo mwananguu! Huwezi kuwalinganisha na Tukuyu Staaz!
ReplyDelete