Monday, July 25, 2011

KWAHERI PROF SAMUEL MUSHI



Prof Samuel Mushi (pichani)hatunaye. Nimeweka tanzia hii kama kumbukumbu yangu binafi kwani alikuwa mshauri wangu binafi wa kitaaluma (academic adviser )nilipokuwa UDSM (2000-2003)

RIP PROFESSOR!

1 comment: