WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
Tuesday, October 28, 2008
Yanga Bingwa 2009/2010
Mji woote huwa shwari tukiwafungaga hawa jamaa. Ni raha tulioikosa siku nyingi Lakini mla ni mla leo... Wangeshinda wao ungesikia vurugu na mitusi-mitusi mji. mzima.
Washabiki wakiwasubiri timu yao ije kuchinja mtuYanga kama timu ya taifa vile Utani unapokolea balaa
Nguruwe keshachinjwa hapa na mpira ushakwisha
Wachezaji mamilionea wakitoka kuwashukuru washabiki baada ya Ben Mwalala kufanya mambo yaliyomleta nchini.
No comments:
Post a Comment