Wednesday, September 03, 2008

Malangali High School 1998 Leo tena nimepekua na kuikuta hii niliyopigwa mwaka 1998. Darasa lenyewe mie leo hoi. Nilikuwa nimekibwaga kitabu Petals of Blood cha gwiji Ngugi wa Thiong'o (kulia mezani) na badala yake nikazama kwenye fani niliyokuwa niikiizimia: Kuchora. Ukitaka tugombane leo niambia nichore hata Fido Digo.

3 comments:

  1. Sawa kabisa mr. Inapendeza sana blogu yako yangu ni www.heradiuspaschal.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. Kuchora? Napenda sana sanaa hiyo japo nilijikuta nikiipa kisogo. Niliko hakuhusiani sana na uwezo wangu wa kuchora.

    Poor talent utilization? Bila shaka.

    ReplyDelete
  3. PROMO DELIMA
    poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

    Bonus yang kami sediakan :
    * TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
    * Bonus referal sebesar 10%

    Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
    Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
    Come join and be a winer with us !!

    Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
    Livechat_____: delimapoker
    BBM__________: 7B960959
    Facebook_____: Facebook
    Phone number_: +85595678845

    ReplyDelete