Thursday, May 02, 2013

Mei Mosi 2013 Hapa nipo na wafanyakzi wenzangu katika maandamano ya Mei Mosi. Maandamano yalipokelewa na Rais JK. Jambo kuu lililonifurahisha juu ya ujio wa rais mkoani Mbeya, pamoja na shughuli nzima ya Mei Mosi, ni ukarabari wa barabara. Barabara ulikopitishwa msafara wa rais zilifukiwa mashimo yote. Mimi hutumia barabara ya Karume (Mafiati-Mjini) karibu kila siku. Mashimo yote yamefukiwa. Sasa sijajua wahusika hawakuyaona kabla ya sherehe hizi au ni mgeni njoo mwenyeji apone. Karibu tena Mei Mosi, Karibu tena rais.

7 comments:

  1. Kaka John afadhali umerudi..karibu sana. Mambo yetu haya si hata chakula inakuwaga hivyo hivyo wenyewe manakula ugali na mboga pia maharage na kunywa maji lakini mgeni akija itanunuliwa nyama au kuchinjiwa kuku tena jogoo na soda au bia juu. Yaani kaaaazi kwelikweli....

    ReplyDelete
  2. dada mkuu nashukuru kwa ukaribisho. nilikuwa pembeni kidogo shauri ya masaibu ya kidunia. nadhani sasa nimerejea.

    mgeni akichinjiwa kuku si haba wenyeji wengine mkatupiwa japo shingo, miguu ama utumbo.

    ReplyDelete
  3. Thanx for sharing ilike your book
    Obat Vimax

    ReplyDelete
  4. สนุกสุดๆไปเลยกับหนังออนไลน์ หนังใหม่ Full HD Captain Marvel กัปตัน มาร์เวล (2019) ดูออนไลน์ฟรีๆที่

    https://www.doonung1234.com/

    ReplyDelete