Tuesday, August 16, 2011

WATOTO WAKITOROKA
Leo mchana mitaa ya Ilala Boma. Nikawakuta watoto hawa wa Shule ya Msingi Mkoani wakitoroka kwa mtindo huo. Palepale nikapata jibu kuwa tabia ya utoro bungeni huanzia shuleni.



Juu na chini madogo wakitoroka


14 comments:

  1. Unafikiri! nikweli kabisa!!!

    ReplyDelete
  2. Sijui na ufisadi huanzia wapi??

    ReplyDelete
  3. Kwikwikwi,kaka wa mimi Kitururu mbonaumeguna tuu? au umekumbuka enzi hizo!!!!!

    ReplyDelete
  4. @Dada R:Umenistukia kumbe!:-)

    ReplyDelete
  5. Ndio maana wenzetu wakichagua kiongozi wanajaribu kumchimba mtu kuanzia utotoni!

    ReplyDelete
  6. Mwalimu;

    Umepotea na natumaini huko uliko ni kwema. Naunga mkono swali la Chib: Ufisadi nao huanzia wapi ???

    Nilikuwa napita hapa kusema kwamba sasa nimerudi tena rasmi. Tupo pamoja !!!

    http://matondo.blogspot.com/2011/12/wanablogu-wenzangu-na-wapenzi-wote-wa.html

    ReplyDelete
  7. hujakosea kabisa, tunakua na vitabia vya utotoni

    ReplyDelete
  8. Umepotea mno mkuu. Nini taabu?

    ReplyDelete
  9. Thanx for sharing ilike your book
    Obat Vimax

    ReplyDelete