WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA
Hizi picha zinaeleza ukweli wa mambo. Marikani, hata kama marais wanabadilika, kimsingi sera hubaki zilezile. Obama na Bush wanatetea kile kile kwa namna tofauti.

ReplyDelete