Monday, November 24, 2008

Nimechoka Kupanga
Picha hazina muelekeo kwa sasa ila nitakuwa nawaupdate kanavyoendelela. Mniombee nivunje heshima baa nikamalizie kule Uyole Mbeya.

9 comments:

  1. Nakushauri ufyatue matofali yako itakuwa gharama ndogo zaidi kuliko kazi hiyo

    ReplyDelete
  2. Yasinta nashukuru kwa ushauri. Nimejifunza pale kwenye slide show yenu. Nami ndivyo nilivyofanya. Ile slideshow ni shule tosha.

    ReplyDelete
  3. Haya mzee,
    höngera kwa kufikiria kuuendeleza mji wa nyumbani.
    Nifanyie mpango hako kajiplot ka pembeni yako.

    ReplyDelete
  4. Mtanga hiki cha pembeni wameshakiwahi. Ntakutafutia sehemu nyingine ya karibukaribu suijali

    ReplyDelete
  5. Ahsante sasa kaka.
    Nakisubiri hicho kijiplot ili nami nijenge heshima jijini kwetu Mby.
    Usisahau bustani nzuri ya maua ukishamaliza ujenzi wako. Hali ya hewa inaruhusu, udongo nao unaruhusu, upatikanaji nao unaruhusu. Ukijumlisha migomba, mikatapera, magimbi na mapichesi. Hapo ushindwe mwenyewe kaka.
    Alamsiki.

    ReplyDelete
  6. Nimependa: Kuvunja heshima baa. Imetulia hiyo.

    Kwa nini watu hutafuta heshima baa?

    ReplyDelete
  7. kaka nadhan hujachoka kupanga weye...mjumba wote huo wkt alochoka huanza na rum 1 au 2 tu za fasta...we kaka naona wataka fungua na mbuga ya wanyama humo...
    lkn mwanzo mzuri inshaallah utafika sheikh

    ReplyDelete
  8. Kaka John unataka kuangusha hekaru nini maana huo mjengo mpaka unanitisha.mambo vipi lakini mkuu?

    ReplyDelete