Friday, December 07, 2007

Graduation

William Andinndilie ana kila sababu ya kufurahi baada ya kutunukiwa M.A. katika Geography tarehe 24/11/2007 kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pahala ambako pia amepata mzigo wa kufundisha. Hapa nampa kampani wakati wa sherehe.

7 comments:

  1. mzee hiyo safi sana,imetulia sana mtu wangu!piga shule na wewe unaweza ukahama TIA ukapiga mzigo huko UDSM.Ila komaa tu GPA iwe ya maana sio GPA-Chai.

    ReplyDelete
  2. Sawa "Classmates" wangu. Mwakamaso hongera sana Kaka kwa kudaka nondo! Kumbe ulikuwa una-bundi? Nitakutafuta nikirudi Tanzania.

    ReplyDelete
  3. Big up kijana... nilikua nae Ndanda huyu (1997-1999)

    ReplyDelete
  4. Big up kijana... nilikua nae Ndanda huyu (1997-1999)


    Kapongola

    ReplyDelete
  5. Ignorant asante kunitembelea. Huyu kijana aliwahama ndanda 1998 na kuja Malangali tulikomaliza nae 1999. Hapo vipi?

    ReplyDelete