Friday, July 20, 2007

MBEYA KWENDA KYELA
Jana nilijipa safari ya kwenda Kyela kwa kuendesha mwenyewe. Njiani hizi zilinifurahisha.

Ukungu maeneo ya Kiwira kuelekea Tukuyu
Ukungu
Ukungu umeisha
Mjini Tukuyu

Mbeleni sikupiga tena. Nilianza kuchoka.

Alamsiki

9 comments:

  1. tunasubiri vituzzzz toka kyela na itungi

    ReplyDelete
  2. kaka nimekutag utueleze mambo nane tusiyojua kuhusu wewe.poleni na baridi la hapo mbeya ukungu unatisha uo duh!

    ReplyDelete
  3. Sawasawa Kaka.
    Tunashukuru kwa picha.
    Kama utapata muda basi usisahau kupita pale mahali panapoitwa daraja la 'Mungu' na kutupatia picha zake.
    Kila la heri.

    ReplyDelete
  4. Safi sana picha nzuri toka mbeya na blog nzuri pia check hii yangu
    iko vipi www.kennedytz.blogspot.com

    ReplyDelete
  5. Wababe wote wa hapo stendi na sokoni tky ni jamaa ninaowaelewa vizuri hivyo hupita hapo bila wasi...Barabara hio inayopandisha kilimani kushoto inaenda makao makuu ya landmark hotel baada ya benki nbc kuna round about..kuelekea majengo chini ya milima ya tky unakutana na kijiji cha ndionga ni mahala muhimu sana kwangu binafsi shukrani sauti ya baragumu

    ReplyDelete
  6. kinacho nisibu ni vijana wa tky kukaa maeneo ya stendi,sokoni na uwanjani C.C.M bila kazi.hilo kwangu ni tatizo.sio hapo tu hata katumba na uyole mambo ni hayo hayo tu.nina ombi naomba update ya soka la TUKUYU.

    ReplyDelete
  7. Samahani, natoka nje ya somo!

    Njoo tumalizie kujadili kipengele, ili tuende kwenye hatua nyingine ya kuboresha wanajumuiya wa jumuiya ya Watanzania wanao tembelea au wanao blogi.

    Tembelea hapa : http://blogutanzania.blogspot.com/
    ilia tumalize kujazia dondoo ili tu anze na kipengele kingine.
    Idumu JUMUWATA!

    ReplyDelete
  8. Motowaka mambo vipi, naona mambo yako yanawaka kama moto. Keep it up kama, fanya akama ulivyokuwa majuu...tuko sambamba

    ReplyDelete
  9. Yes..yes.. tuletee hizo kitu

    ReplyDelete